1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Poland na Hungary zaungana dhidi ya EU

Carolyne Robi Tsuma11 Januari 2018

Umoja wa Ulaya unazipeleka kortini Hungary, Poland na Jamhuri ya Czech kwa kukataa kukubali mgao wa lazima wa wakimbizi, uamuzi uliofikiwa na nchi nyingi wanachama wa Umoja wa Ulaya mwaka 2015. Poland na Hungary zinazoonekana kuwa waasi katika Umoja wa Ulaya zimezidi kuungana katika kupinga suala la kuwapokea wakimbizi. Katika mwangaza wa Ulaya wiki hii tunaliangazia hilo.

https://p.dw.com/p/2qfcD