1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Hungary

Hungary nchi ya Ulaya Mashariki yenye wakaazi milioni 9.9. Inapakana na Austria, Slovenia, Croatia, Serbia, Romania, Ukraine na Romania.

Nchi hiyo ya kundi la zamani la vibaraka na makoloni ya Stalini, ilifanya uchaguzi wake wa kwanza wa vyama vingi mwaka 1990. Mji wake mkuu ni Budapest. Hungary imekuwa mwanachama wa jumuiya ya kujihami NATO tangu 1990. Mwaka 2004 ilijiunga na Umoja wa Ulaya, na miaka mitatu baadaye na kanda ya uhuru wa kusafiri ya Schengeni. Huu ni mkusanyiko wa DW kuhusu Hungary.

Onesha makala zaidi