Papo kwa Papo 13.07.2016To view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video13.07.201613 Julai 2016Rais wa Marekani Barack Obama ataka mjadala mpana kuhusu ubaguzi wa rangi nchini humo.Theresa May kukabidhiwa mikoba ya waziri mkuu wa Uingereza muda mfupi ujao. Na Umoja wa Mataifa wazindua ushirika mpya kupambana na ukatili dhidi ya watoto.https://p.dw.com/p/1JOKQMatangazo