Papo kwa Papo 05.07.2016 | Anza | DW | 05.07.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Anza

Papo kwa Papo 05.07.2016

Maafisa wanne wameuawa na watano kujeruhiwa katika shambulio dhidi ya mji mtakatifu wa Madina nchini Saudi Arabia, Kansela wa Ujerumani Angela Merkel asema kujiengua kwa Uingereza katika Umoja wa Ulaya hakutaathiri mchakato wa nchi za Balkan kujiunga na umoja huo, Iraq yaendelea kuomboleza vifo vya mamia walioangamizwa katika shambulio baya lililodaiwa na kundi la IS.

Tazama vidio 01:30
Sasa moja kwa moja
dakika (0)