Ndege ya abiria yapata ajali Angola | Habari za Ulimwengu | DW | 20.01.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

Ndege ya abiria yapata ajali Angola

LUANDA: Hakuna alienusurika katika ajali ya ndege ya abiria iliyotokea nchini Angola.Watu wote 12 waliokuwemo katika ndege hiyo wamepoteza maisha yao.Kwa mujibu wa ripoti za vyombo vya habari, ndege hiyo iliripuka baada ya kugonga mlima katika hali mbaya ya hewa.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com