1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Angola

Angola ni nchi ya kusini mwa Afrika inayopakana na Namibia upande wake wa kusini, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo katika upande wa kaskazini na Zanzibar kwa upande wa mashariki. Mji wake mkuu ni Luanda.

Koloni hili la zamani la Ureno lilijitangazia uhuru wake mwaka 1975. Mwaka huo huo, nchi hiyo hiyo yenye raia milioni 22 ikaingia kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyomalizika mwaka 2002.

Onesha makala zaidi