Nani anapambana kwenye vita vya Syria? | Mada zote | DW | 02.11.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Nani anapambana kwenye vita vya Syria?

Vita vya raia nchini Syria vilizuka baada ya vuguvugu la mageuzi la Waarabu lililogubika Mashariki ya Kati na Afrika Magharibi mwaka 2011. Mzozo huo tangu wakati huo umehusisha makundi yanayohasimiana duniani kote.