Mzozo wa Kisiwa cha Migingo | Matukio ya Kisiasa | DW | 13.05.2009
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Kisiasa

Mzozo wa Kisiwa cha Migingo

Mabishano juu ya Kisiwa cha Migingo kilioko katika Ziwa Victoria ni mali ya nani, Kenya au Uganda, bado yanaendelea.

Rais Yoweri Museveni asema Kisiwa cha Migingo ni cha Kenya na maji ni ya Uganda

Rais Yoweri Museveni asema Kisiwa cha Migingo ni cha Kenya na maji ni ya Uganda


Tamko la karibuni la Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, ni kwamba kisiwa hicho ni cha Kenya, lakini maji yanayozunguka kisiwa hicho ni ya Uganda. Kuna wabunge huko Kenya, hasa kutoka eneo la Nyanza, wanaotaka kuwahimiza wananchi wachukue hatua ya kukimiliki kisiwa hicho, ikiwa mkuu huyo wa Uganda atasita sita kuhusu jambo hilo.

Othman Miraji alizungumza kwa njia ya simu na waziri wa nchi katika wizara ya mambo ya kigeni ya Uganda, Okello Oryem, kutaka ufafanuzi kutoka kwake kuhusu matamshi ya Rais Museveni:


Mwandishi: Othman Miraji

Mhariri: Mohamed Abdulrahman


Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com