Muuaji wa Las Vegas alikuwa na bunduki 47 | Media Center | DW | 04.10.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Muuaji wa Las Vegas alikuwa na bunduki 47

Kumbe yule muuaji wa watu 59 mjini Las Vegas, Marekani, alikuwa na bunduki 47. Nchini Togo wapinzani wameanza maandamano ya siku mbili kumtaka Rais Faure Gnassingbe kuondoka madarakani, huku Catalonia ikisema wiki ijayo ndiyo muda wa kujitangazia rasmi uhuru kutoka Uhispania. Yote hayo na mengine ni kwenye Papo kwa Papo leo tarehe 4 Oktoba 2017.

Tazama vidio 02:33
Sasa moja kwa moja
dakika (0)