1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Las Vegas

Las Vegas, katika jangwa la Mojave jimboni Nevada, ni mji wa mapumziko mashuhuri kwa maisha yake ya usiku yanayochagizwa na vituo vya kamari vinavyofanya kazi saa 24 na aina nyingine za burudani.

Mtaa wake mkuu na kivuto kikuu ni ukanda wenye urefu wa kilomita nne. Mtaa huu ndiyo mahala zinakopatikana hoteli kubwa na maarufu duniani. Mji wa Las Vegas, unaojulikana pia kama Vegas, ndiyo mji wa 28 kwa kuwa na wakaazi wengi nchini Marekani, na ni maarufu kimataifa kutokana na michezo ya kamari, manunuzi, vyakula, burudani na maisha ya usiku.

Onesha makala zaidi