MOGADISHU: Ndege ya mizigo yatunguliwa Somalia | Habari za Ulimwengu | DW | 25.03.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

MOGADISHU: Ndege ya mizigo yatunguliwa Somalia

Ndege ya mizigo ikiwa na watu 11 imetunguliwa baada ya kuondoka uwanja wa ndege wa mji mkuu wa Somalia,Mogadishu.Maafisa na mashahidi katika eneo hilo wamesema,ndege hiyo siku ya Jumamosi iliangukia viunga vya kaskazini vya Mogadishu, ikiwa imeshika moto.Wizara ya ndani ya Somalia inachunguza tukio hilo.

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com