Mkutano wa Ushirikiano na Maendeleo mjini Bonn,Ujerumani | Masuala ya Jamii | DW | 27.08.2009
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Mkutano wa Ushirikiano na Maendeleo mjini Bonn,Ujerumani

Jana mjini Bonn, Ujerumani, ulianza mkutano wa pili wa siku mbili juu ya siasa ya ushirikiano wa maendeleo, uzito ukiwekewa juu ya ushirikiano katika ngazi za mikoa na tarafa.

default

Rais Horst Köhler wa Ujerumani aliyeufungua mkutano

Mkutano huo, ambao umetayarishwa na wizara ya vizazi, familia, wanawake na kuambatanishwa wageni katika jamii ya Ujerumani, ulifunguliwa na Rais Perofesa Dr. Horst Köhler. Mmoja kati ya watu waliohudhuria ni Dr. Kamugisha Byabato, mzaliwa wa Tanzania, lakini sasa yuko katika Chuo Kikuu cha Ufundi cha Dortmund.

Othman Miraji alizungumza naye na kwanza alimueleza vipi hivi sasa yupo hapa Ujerumani.

Mwandishi: Othman Miraji

Mhariri: Mohamed Abdulrahman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com