Mkutano wa mawaziri wa Kilimo wa CEEAC mjini Kinshasa, DRC | Masuala ya Jamii | DW | 24.07.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Masuala ya Jamii

Mkutano wa mawaziri wa Kilimo wa CEEAC mjini Kinshasa, DRC

Tatizo la njaa na kupanda kwa bei ya chakula ulimwenguni kumeathiri pia bara la Afrika.

Mji wa Kinshasa kunakofanyika mkutano wa CEEAC

Mji wa Kinshasa kunakofanyika mkutano wa CEEAC

Kwa hiyo mawaziri wa kilimo wa jumuiya ya kiuchumi ya mataifa ya afrika ya kati(CEEAC)wamekutana mjini Kinshasa ili kukadiria kupanda kwa bei ya chakula kwenye eneo hilo.


Taarifa kamili na mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo.
Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com