1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Changamoto za mikopo midogomidogo

22 Mei 2024

Mikopo ya haraka, mikopo poa, mikopo chap chap inayotolewa na watu binafsi, kampuni au taasisi ndogo za kifedha ambazo mara nyingi zinawalenga wafanyabiashara wadogo wadogo na wajasiriamali, kama mama lishe na baba lishe, madereva wa pikipiki, na wafanyabiashara wengine wa kwenye masoko imekuwa shubiri kwa wengi.

https://p.dw.com/p/4g9KJ

.