1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Miaka 16 tangu mauaji ya Rwanda kutokea

7 Aprili 2010

Rwanda yafanya kumbukumbu

https://p.dw.com/p/MpE5
Rais wa Rwanda Paul KagamePicha: DW-TV

Rwanda leo inakumbuka miaka kumi na sita tangu kutokea mauaji ya kimbari ya mwaka wa 1994. Rais wa Rwanda Paul Kagame amelihutubia taifa hii leo.

Peter Moss amezungumza na Bi Fatuma Ndangiza aliyekuwa mwenyekiti wa tume ya ukweli na maridhiano nchini humo na ambaye kwa sasa ni balozi wa Rwanda nchini Tanzania. Alianza kwa kumuuliza mafanikio ya tume hiyo na mwelekeo wa kuliunganisha taifa la Rwanda.