1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mgogoro wazuka kuhusu Kampuni ya Simu ya Safaricom nchini Kenya

27 Machi 2008

Mgogoro mpya umezuka nchini Kenya kati ya serikali na chama cha ODM kuhusu uamuzi wa serikali kuuza hisa zake kwenye kampuni ya simu ya Safaricom.

https://p.dw.com/p/DVmh

Kiongozi wa chama cha ODM Bw.Raila Odinga, ameitaka serikali kuchelewesha uuzaji wa hisa zake kwenye kampuni hiyo bali suala hili kujadiliwa na baraza jipya la mawaziri.

Ripoti kamili na mwandishi wetu Mwai Gikonyo kutoka Nairobi.