Mazungumzo ya kutafuta amani Syria yaendelea Geneva | Anza | DW | 24.02.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Anza

Mazungumzo ya kutafuta amani Syria yaendelea Geneva

Mazungumzo ya kutafuta amani nchini Syria yaendelea mjini Geneva lakini mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa asema hatarajii suluhu ya haraka. Afrika Kusini kumezuka fujo dhidi ya kuwepo wahamiaji nchini humo. Na kongamano la kimataifa la ahadi za ufadhili wa msaada kwa nchi za ziwa Chad wafanyika Oslo, Norway.

Tazama vidio 01:56
Sasa moja kwa moja
dakika (0)