1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Geneva

Mji wa pili kwa kuwa na wakaazi wengi nchini Uswisi unakutikana kwenye Ziwa Geneva katika eneo linalozungumza Kifaransa la nchi hiyo.

Geneva, unaofahamika kama "mdogo zaidi miongoni mwa miji mikubwa" na "mji wa amani" ni kituo cha ulimwengu cha diplomasia na nyumbani kwa makao makuu ya Umoja wa Mataifa barani Ulaya. Pia ni makao makuu ya makampuni kadhaa ya kimataifa, na pia makao ya Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu. Geneva ni miongoni mwa miji ghali zaidi duniani.

Onesha makala zaidi