1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matumizi ya Kiswahili kwenye filamu za Kiswahili Tanzania

Mohammed Khelef14 Januari 2016

Tasnia ya filamu inazidi kukuwa nchini Tanzania kwa kujitokeza waigizaji na kampuni nyingi za uigizaji wakitumia Kiswahili, lakini swali kubwa kwa wahakiki wa filamu ni ikiwa kweli kuwa tasnia hiyo ina manufaa kwa Kiswahili na Waswahili. Dk. Vicensia Shule wa Idara ya Sanaa na Sanaa za Maonyesho ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ndiye mtaalamu wetu kwenye Kiswahili Kina Wenyewe.

https://p.dw.com/p/1Hcxu