Matarajio ya Wakenya baada ya ziara ya Koffi Annan nchini humo | Matukio ya Kisiasa | DW | 09.10.2009
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Kisiasa

Matarajio ya Wakenya baada ya ziara ya Koffi Annan nchini humo

Baada ya Kofi Annan kuondoka nchini Kenya, ziara yake ilionekana ni kuiwekea mbinyo serikali iharakishe gurudumu la mageuzi.

Koffi Annan ataka serikali iharakishe hatua ya mageuzi nchini Kenya

Koffi Annan ataka serikali iharakishe hatua ya mageuzi nchini Kenya

Mashirika yasiyo ya kiserikali yanasema linalohitajika ni Annan kubuni jopo la uchunguzi litakaloyashirikisha mashirika ya kiraia na viongozi wa dini, ili wawasukume viongozi wawajibike kuharakisha hatua za mageuzi, la sivyo ziara za Annan zitakuwa ni za bure. Munira Muhammad alizungumza na Cyprian Nyamwamu, mkurugenzi wa shirika la National Convention Executive Council, mwavuli wa asasi za kiraia nchini Kenya. Alianza kwa kumuuliza Iwapo viongozi wa kisiasa nchini Kenya wanamheshimu Annan, Wakenya watarajie nini kutoka kwa Rais Kibaki na Waziri mkuu Raila Odinga.

Mwandishi: Munira Muhammad.

Mhariri:Hamidou Oummilkheir

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com