1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Kofi Annan

Kofi Annan alikuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuanzia mwaka 1997 hadi 2006. Mwaka 2001, alitunukiwa Nishani ya Amani ya Nobel pamoja na Umoja wa Mataifa.

Mwaka 2012, mwanadiplomasia huyo aliyezaliwa Ghana alichaguliwa kuwa Mwakilishi Maalum wa Umoja wa Mataifa na Jumuiya ya Kiarabu kwa Syria, lakini miezi sita baadaye akatangaza kutoomba tena nafasi hiyo kutokana na kukosekana kwa maendeleo kwene utatuzi wa mzozo huo.

Onesha makala zaidi