Tuzo ya Nobel: Mabalozi wa Amani Afrika | Mada zote | DW | 09.12.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Tuzo ya Nobel: Mabalozi wa Amani Afrika

Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed ndiye mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel – mshindi wa kumi barani Afrika. Ametunukiwa kwa juhudi zake za upatanisho. Tuzo ya kwanza ya Amani ya Nobel ilienda Afrika mnamo 1960.