1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Mchana 31.08.2019

Sylvia Mwehozi
31 Agosti 2019

Marekani yaiweka meli ya mafuta ya Iran katika orodha mbaya, ikisema ina taarifa za kuaminika kwamba ilikuwa ikisafirisha mafuta kwenda Syria.Maelfu ya raia nchini Uingereza leo wanaandamana nchi nzima kupinga hatua ya Waziri Mkuu Boris Johnson ya kusimamisha shughuli za Bunge.Na huko Hong Kong maandamano ya kudai demokrasia yaingia wiki ya 13.

https://p.dw.com/p/3OnZa