1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Hong Kong

Hong Kong ni eneo lenye utawala wake wa ndani, koloni la zamani la Uingereza lililopo kusini.mashariki mwa China. Kwa wakaazi wake zaidi ya milioni saba, Hong kong inashika nafasi ya nne katika mataifa yenye watu wengi.

Hong Kong iliwekwa chini ya utawala wa Uingereza baada ya vita vya kwanza vya Opium (1839–42). Mwanzoni mwa miaka ya 1980, majadiliano kati ya Uingereza na China yalizaa tamko la pamoja kati ya China na Uingereza mwaka 1984, lililosafisha njia ya kuhamisha mamlaka ya Hong Kong mwaka 1997. Tangu wakati huo, limekuwa jimbo maalumu la utawala (SAR), likiwa na kiwango kikubwa cha utawala wake wa ndani - angalau kwa karatasi.

Onesha makala zaidi