1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Mchana 28.05.2016

SK2 / S02S28 Mei 2016

Ujerumani yasema haitayumbishwa na vitisho vya rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan kuhusu makubaliano ya kudhibiti wahamiaji wanaoingia barani Ulaya, Ufaransa na Ujerumani zakumbuka vita vya umwagaji mkubwa wa damu vya Verdun vilivyotokea miaka 100 iliyopita, na WHO yasema hakuna uhalali wa kuahirishwa michezo ya Olimpiki nchini Brazil kutokana na wasi wasi wa mripuko wa virusi vya Zika

https://p.dw.com/p/1IwMY