1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya mchana 05.01.2020

Yusra Buwayhid
5 Januari 2020

Maelfu nchini Iran waomboleza kifo cha Jenerali wa ngazi ya juu Qassem Soleimani. Ujerumani kuendeleza mapambano dhidi ya IS, Iraq. Na, kundi la al-Shabab lashambulia kambi ya kijeshi huko Lamu, Kenya.

https://p.dw.com/p/3VjPl