Chama tawala cha Uturuki AKP chamchagua Binali Yildirim kuwa kiongozi wake mpya wa chama, Serikali ya Misri yatuma nyambizi kutafuta kisanduku cha mawasiliano cha ndege ya EgyptAir iliyoanguka, na Urusi yafanya mashambulizi mjini Aleppo licha ya makubaliano ya suluhu