1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Jioni 16.07.2016

SK2 / S02S16 Julai 2016

Tuliyo nayo ni pamoja na ; Uturuki yataka wanajeshi wake waliokimbia na helkopita na kutua nchini Ugiriki baada ya kushindwa kwa jaribio la mapinduzi kurejeshwa. kansela wa ujerumani Angela Merkel alaani jaribio la mapinduzi ya Uturuki. Na Zaidi ya wakimbizi 1800 wa Sudan Kusini wameyakimbia mapigano ya mjini Juba na kuingia nchini Uganda.

https://p.dw.com/p/1JQ9u