Corona: Idadi ya maambukizi na vifo imeongezeka duniani/ Dar es Salaam: Wafanyakazi katika sekta ya usafiri wa umma kwamelalamika juu ya uhaba wa abiria/ Rwanda- Congo: Wananchi wanaoendsha shughuli za mipakani wameathiriwa kufuatia ongezeko la uhaba wa vyakula/ Kenya: Vita dhidi ya nzige vinakabiliwa na uhaba wa dawa za kuua wadudu