1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya asubuhi kutoka DW Kiswahili. 24.03.2020

Tatu Karema
24 Machi 2020

Corona: Idadi ya maambukizi na vifo imeongezeka duniani/ Dar es Salaam: Wafanyakazi katika sekta ya usafiri wa umma kwamelalamika juu ya uhaba wa abiria/ Rwanda- Congo: Wananchi wanaoendsha shughuli za mipakani wameathiriwa kufuatia ongezeko la uhaba wa vyakula/ Kenya: Vita dhidi ya nzige vinakabiliwa na uhaba wa dawa za kuua wadudu

https://p.dw.com/p/3ZwFj