1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Asubuhi 28.08.2021

Grace Kabogo
28 Agosti 2021

Viongozi wa nchi kadhaa za Afrika wanashiriki mkutano wa kile kinachojulikana kama G20 Compact Africa//Shambulizi la bomu kwenye uwanja wa ndege Kabul linaashiria kwamba kundi la wanamgambo lenye uhusiano na lile linalojiita Dola la Kiislamu, ni tishio Afghanistan na kote ulimwenguni//Gavana wa Ubangi katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo ahofia ghasia tangu kugunduliwa kwa madini

https://p.dw.com/p/3zbGx