1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Asubuhi 25.06.2016

TSA / S09S25 Juni 2016

Tofauti za kikanda katika upigaji kura ya Uingereza kujiondoa Umoja wa Ulaya zimedhihirisha mgawanyiko wa kisiasa na kijamii,Kutokana na kuzuka kwa Zika maombi ya mtandaoni ya vidonge vya kutoa mimba yameongezeka mara dufu mwaka huu nchini Brazil , Ecuador na baadhi ya nchi nyingine za Amerika ya Kusini

https://p.dw.com/p/1JDQh