Siasa za chama cha siasa cha Kanu kilichoitawala Kenya baada ya uhuru zinaonekana kushika kasi baada ya wanachama 70 kujiunga na chama hicho//Kwa mara ya kwanza katika historia ya Israel chama cha kiarabu cha Raam kimekuwa sehemu ya serikali ya muungano//Wizara ya sheria ya Marekani imemshtaki mtu mmoja kutoka Haiti kwa tuhuma za kula njama ya mauaji ya aliekuwa raisi wa nchi hiyo, Jovenel Moise