1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mataifa kadhaa yasitisha usafiri kutoka Uingereza kwa sababu ya aina mpya ya virusi vya corona

21 Desemba 2020

Ujerumani imeungana na mataifa mengine ya Ulaya katika jitihada ya kukabiliana na kitisho cha kuzuka kwa aina mpya virusi vya corona katika mataifa ya Uingereza na Afrika Kusini

https://p.dw.com/p/3n0zZ