Mashindano ya dunia ya baiskeli ya Tour De Fance yaanza | Habari za Ulimwengu | DW | 05.07.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Habari za Ulimwengu

Mashindano ya dunia ya baiskeli ya Tour De Fance yaanza

-

PARIS

Mashindano ya duniani ya 95 ya mbio za baiskeli Tour De France yamenza leo yakimuacha nje bingwa wa mwaka 2007 Alberto Contandor kutoka Spain kwasababu timu yake ya Astana haikualikwa kushiriki mbio hizo kutokana na madai ya kuhusika katika matumizi ya dawa za kuongeza nguvu misuli.Wiki iliyopta mmarekani Floyd Landis alivuliwa taji lake la mwaka 2006 baada ya kugunduliwa ametumia dawa hizo.Mashindano ya mwaka huu yameanzia katika eneo la Brittany kukiwa na washiriki 180 kutoka timu 20 na yanatarajiwa kumalizika tarehe 27 mwezi huu mjini Paris.

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com