Mashambulizi ya bomu yamwaga damu Irak | Habari za Ulimwengu | DW | 23.11.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

Mashambulizi ya bomu yamwaga damu Irak

Mashambulizi mawili ya bomu nchini Irak yamesababisha umwagaji mkubwa wa damu.Bomu lililoripuka katikati ya soko mjini Baghdad limeua watu 13.Na katika mji wa Mosul kaskazini mwa Irak,askari polisi 3 na raia 10 waliuawa katika shambulizi la kujitolea maisha muhanga.

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com