You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Iran
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Martin Schulz
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Nchi washirika wa Marekani zakataa ombi la Trump
Ujerumani imesema vita hivyo havina uhusiano wowote na nchi washirika wa Jumuiya ya kujihami ya NATO.
Zelensky aitaka Magharibi kuendeleza vikwazo kwa Urusi
Rais wa Ukraine Volodymir Zelensky amesema Moscow inaendelea kupata vifaa vya kigeni kwa siri ili kutengeneza silaha.
Ujerumani yakubali kutoa akiba ya mafuta kulinusuru soko
Ulimwengu upo katika sintofahamu juu ya nishati ya mafuta iliyochochewa na vita ya Marekani na Israel dhidi ya Iran.
Ujerumani yashindwa kurejesha wahamiaji wengi waliokataliwa
Takriban asilimia 60 ya mipango ya kuwarejesha wahamiaji kutoka Ujerumani haikutekelezwa mwaka uliopita.
Ujerumani kumchagua rais mwanamke kumrithi Steinmeier?
Muhula wa pili madarakani wa Rais wa Ujerumani ni Frank Walter Steinmeier unamalizika mwanzoni mwa mwaka 2027.
Trump aipongeza Ujerumani kwa msimamo wake kuhusu vita Iran
Trump asema Marekani haitafuti kuwahusisha wanajeshi wa Ujerumani katika operesheni hiyo ya kijeshi.
Trump asifu msimamo wa Ujerumani katika vita vya Iran
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Marekani Donald Trump mjini Washington.
Kansela Merz kukutana na Trump Ikulu ya Whitehouse
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz anatarajiwa kukutana na Rais wa Marekani Donald Trump Jumanne.
Merz na Trump: Mkutano wa dharura kuhusu Mashariki ya Kati
Kansela Merz anamtembelea Rais wa Marekani Donald Trump. Katikati ya ongezeko la mvutano Mashariki ya Kati.
China, Ujerumani kuzingatia uwazi na ushindani wa haki
China na Ujerumani zimesisitiza umuhimu wa majadiliano ya wazi, ushindani wa haki na upatikanaji wa masoko wenye usawa.
Merz awasili China kwa mazungumzo ya biashara na usalama
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz ameanza ziara yake nchini China atakakojikita katika masuala ya uchumi na ulinzi.
Trump aongeza ushuru kimataifa kutoka asilimia 10 hadi 15
Majaji watatu wa mahakama kuu walipinga uamuzi huo huku wajumbe wa chama cha Republican wakiwakemea majaji 6
Merz aahidi kutoiruhusu AfD kuiharibu Ujerumani
Merz asema ustawi wa uchumi ni muhimu kwa usalama wa Ujerumani.
Mkutano wa Munich waiacha Afrika pembezoni
Mada kuu Munich: Vita vya Urusi nchini Ukraine, mvutano Mashariki ya Kati, na mustakabali wa Ulaya.
China yasema inataka uhusiano wa ngazi mpya na Ujerumani
Wang na Merz wamekutana pembezoni mwa Mkutano wa Usalama wa Munich nchini Ujerumani.
Hatua ya Israel ya kuudhibiti Ukingo wa Magharibi yalaaniwa
Waziri wa Nishati wa Israel Eli Cohen amesema hatua hizo zinathibitisha kwamba hakutakuwepo taifa huru la Palestina.
Mapambano ya rushwa yaporomoka katika nchi za Magharibi
Ripoti ya juhudi za kupamnana na Rushwa yachapishwa na shirika la Transparency International.
Uchaguzi wa Japan: Chama cha Takaichi chatabiriwa ushindi
Raia nchini Japan, wamepiga kura Jumapili katika uchaguzi unaotazamiwa kukipa ushindi chama cha Waziri Mkuu Takaichi.
Nishati na mauzo ya silaha: Kansela Merz ziarani Ghuba
Kansela wa Ujerumani, Merz, anazuru mataifa matatu ya Ghuba katika juhudi za kujenga ushirika mbadala kwa Marekani.
Ujerumani yakemea Iran kutaja jeshi la EU kama magaidi
Ujerumani yakemea hatua ya Iran kutaja jeshi la EU kama magaidi.
Kura ya maoni yaonesha CDU/CSU zafungana na AfD
Kura ya maoni yaonesha CDU/CSU zafungana na AfD
Umoja wa Ulaya: Syria si salama kwa kuwarudisha wahamiaji
Mkuu wa masuala ya uhamiaji wa Umoja wa Ulaya asema Syria si salama vya kutosha kuruhusu kurejeshwa watu kwa wingi
Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani: Marekani inaihitaji Ulaya
Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani Pistorius: Marekani inaihitaji Ulaya
Merz awasifu viongozi wa EU na kuwarai kuwa wamoja zaidi
Kwa sasa mpangalio na utaratibu wa uendeshaji wa dunia unatawaliwa na Marekani, China na madola yenye nguvu.
Wahamiaji 500,000 kupata hadhi ya kisheria Uhispania
Uhispania kuwapa hadhi ya kisheria watu 500,000 wasio na vibali wakati mataifa ya Magharibi yakikandamiza wahamiaji.
Mamlaka zaifanyia upekuzi Deutsche Bank Ujerumani
Deutsche Bank imesema waendesha mashtaka wamepekua katika baadhi ya ofisi zake kutokana na tuhuma za utakatishaji fedha
Chama cha Kijani chajikuta pabaya kwa kuchelewesha Mercosur
Die Grünen wanatetea mikataba ya kimataifa, lakini wabunge wanane wa Ulaya wamekwamisha mkataba wa biashara wa Mercosur.
Ulimwengu wakumbuka mauaji ya Holocaust miaka 81 baadaye
Maelfu wajitokeza katika miji ulimwenguni kukumbuka mauaji ya Holocaust dhidi ya Wayahudi miaka 81 iliyopita.
Ujerumani: Washukiwa wa itikadi kali wafikishwa mahakamani
Kulingana na waendesha mashtaka, "Wasaksoni wanaotaka kujitenga" walipanga kupindua demokrasia nchini Ujerumani
Ujerumani, Kenya zatetea kuimarishwa UN
Mawaziri wa mambo ya nje wa Ujerumani na Kenya wameweka wazi msimamo wao kuhusu umuhimu wa kuimarisha Umoja wa Mataifa kama nguzo kuu ya usimamizi wa amani na utatuzi wa migogoro duniani, wakati kukiwa na wasiwasi unaotokana na taarifa kwamba Rais wa Marekani Donald Trump anapanga kuanzisha chombo kipya cha kimataifa kitakachoshughulikia masuala ya amani.
Ujerumani na Kenya zasimama kidete kuulinda Umoja wa Mataifa
Wadephul amesisitiza kuwa Umoja wa Mataifa ni mhimili muhimu wa utawala wa kimataifa.
Ukoaji au uhalifu? Wafanyakazi wa misaada washtakiwa Ugiriki
Wafanyakazi wa kutoa misaada wanakabiliwa na kifungo cha miaka 20 jela kwa madai ya kusaidia wahamiaji kuingia Ugiriki.
Wanajeshi wa Ujerumani watarajiwa kuwasili Greenland
Wanajeshi kutoka nchi kadhaa za Ulaya, ikiwemo Ujerumani, walitarajiwa kuanza kuwasili Greenland siku ya Alhamisi.
Ujerumani na India zakubaliana kuimarisha usalama na uchumi
Ujerumani na India zinalenga kuupanua ushirikiano wao katika sekta ya ulinzi na uchumi.
Ujerumani na India zapanga kuongeza ushirikiano wa ulinzi
Ujerumani na India zimepanga kuongeza ushirikiano wao katika sekta ya ulinzi.
Nchi za EU zaridhia mkataba wa biashara huru Mercosur
Umoja wa Ulaya umeunga mkono mkataba mkubwa uliocheleweshwa wa biashara huru Mercosur na nchi za kusini mwa Amerika.
Poland yatangaza utayari kupokea wanajeshi wa Ujerumani
Poland iko tayari kwa uwepo wa wanajeshi wa Ujerumani ili kusaidia kuhakikisha usitishaji wa mapigano nchini Ukraine.
Serikali ya Merz na ajenda nzito ya sera za ndani 2026
Ujerumani 2026: Pensheni, uhamiaji, ajira ya kijeshi na hofu ya AfD kutikisa siasa za ndani.
Mamdani aanza uongozi NYC: kodi kwa matajiri, huduma bure
Mamdani aapishwa NYC: aahidi utawala wa kishupavu, kodi kwa matajiri, na sera za kupunguza gharama za maisha.
Merz: 2026 unaweza kuwa 'mwaka wa mwanzo mpya'
Kansela Merz amesema katika hotuba kuwa mwaka wa 2025 uliipa Ujerumani na dunia nzima mfululizo wa changamoto kubwa.
28.12.2025-Matangazo ya Jioni
Sikiliza Matangazo ya Dunia Yetu Leo Jioni Disemba 28, 2025 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW Bonn.
Ujerumani haitajiunga na kikosi cha kulinda amani Gaza
Ujerumani haitajiunga na kikosi cha kulinda amani Gaza hivi karibuni.
Ujerumani yafagilia mpango wake wa pamoja na Ufaransa
Lachet, amesema juhudi zozote za mazungumzo na Urusi zinapaswa kuongozwa kwa pamoja na Berlin na Paris.
Hotuba ya Krismasi: Rais wa Ujerumani aelezea matumaini
Katika hotuba yake kiongozi huyo wa Ujerumani pia amesisitiza umuhimu wa kuendeleza mshikamano na watu wa Ukraine.
Steinmeier ahimiza mshikamano wakati wa Krismasi
Steinmeier, amehimiza mshikamano na Waukraine wanaoendelea kuvumilia mashambulizi ya Urusi.
Ujerumani: Urusi inajiandaa kushambulia nchi ya NATO
Waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani, Johann Wadephul ameitaka NATO kujiandaa kwa tukio la aina hiyo.
Ujerumani: Urusi kumaliza mapigano Ukraine hakutamaliza vita
Katibu Mkuu wa NATO, Mark Rutte, amezihimiza nchi washirika wa Ukraine kuendelea kuiunga mkono nchi hiyo.
Ujerumani kuwapokea WaAfghani 535 kutoka Pakistan
Mpango huo unawahusu watu walioshirikiana na jeshi la Ujerumani nchini Afghanistan, wanaharakati na wanahabari.
Wanasiasa wa Ujerumani wailaani Urusi kwa kuifungia DW
Idhaa ya DW ya lugha ya Kirusi imewafikia watumiaji milioni 10 kwa wiki katika mwaka huu wa 2025.
Zelensky, Witkoff wawasili Berlin kujadili amani ya Ukraine
Rais wa Ukraine namwakilishi wa Marekani wanatarajiwa kujadili namna ya kuvimaliza vita vya Ukraine mjini Berlin.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 1 wa 53
Ukurasa unaofuatia