Marekani kuutathmini upya mpango wa nyuklia wa Korea Kaskazini | Media Center | DW | 20.04.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Marekani kuutathmini upya mpango wa nyuklia wa Korea Kaskazini

Marekani kuutathmini upya mpango wa nyuklia wa Korea Kaskazini; Umoja wa Mataifa umegundua makaburi mengine mapya 17 ya watu wengi kwenye jimbo la Kasai, Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo; na timu ya Borussia Dortmund ya Ujerumani yaondolewa katika michuano ya Ligi ya Mabingwa wa Ulaya, baada ya kufungwa magoli 3-1 na Monaco ya Ufaransa.

Tazama vidio 01:48
Sasa moja kwa moja
dakika (0)