Kina mapigano yanayoendelea baina ya jeshi la serikali na kundi moja la waasi la kamanda aliyejitenga katika maeneo ya milima ya Minembwe katika wilaya ya Uvira mkoani Kivu ya Kusini huko kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo.
https://p.dw.com/p/CHL0
Matangazo
Mwandishi wetu John Kanyunyu kutoka mashariki mwa Kongo ana ripoti kamili.