Mapigano Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo | Matukio ya Kisiasa | DW | 05.09.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Mapigano Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo

Mapigano katika wilaya ya Masisi Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo baina ya Jeshi la serikali na waasi wa Laurent Nkunda yamesababisha maelfu ya raia kuyahama makazi yao na kukimbilia mahala pengine.

Idadi ya wakimbizi wa ndani imeongezeka kwa kiwango kikubwa katika eneo hilo kutokana na mapigano hayo mapya.

Mwandishi wetu John Kanyunyu kutoka Mashariki mwa Kongono ana taarifa kamili.

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com