Manila. Mikutano kadha yaahirishwa kwa hofu ya kimbunga. | Habari za Ulimwengu | DW | 08.12.2006
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

Manila. Mikutano kadha yaahirishwa kwa hofu ya kimbunga.

Matarajio ya kurejea tena kwa kimbunga kumesababisha kufutwa kwa mikutano miwili muhimu ya bara la Asia wiki ijayo nchini Philippines.
Maafisa katika nchi hiyo wamesema kuwa wataahirisha mkutano wa kila mwaka wa kusini mashariki ya Asia pamoja na mkutano wa nataifa ya Asia mashariki baada ya utabiri kuwa kimbunga kitalikumba jimbo la Cebu mwishoni mwa juma. Hakuna tarehe mpya ambayo imepangwa kwa mikutano hiyo.


Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com