1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Majanga ya Libya na Morocco katika magazeti ya Ujerumani

Josephat Charo
22 Septemba 2023

Wahariri wa magazeti ya Ujerumani na magazeti mengine yanayoandikwa kwa lugha ya Kijerumani yamezingatia janga la mafuriko nchini Libya na tetemeko la ardhi nchini Morocco. Vita dhidi ya kundi la Al Shabaab nchini Somalia na kudhibitiwa kwa mji wa Timbuktu na wanamgambo wa kiislamu pia yamewashughulisha wahariri.

https://p.dw.com/p/4Wgtj