Mahakama yafuta wakurugenzi kusimamia uchaguzi Tanzania | Matukio ya Kisiasa | DW | 24.05.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Mahakama yafuta wakurugenzi kusimamia uchaguzi Tanzania

Mahakama Kuu Tanzania imebatilisha sheria ya uchaguzi inayowapa uhalali wakurugenzi kuwa wasimamizi wa uchaguzi. Hatua hiyo ni baada ya kufunguliwa kesi na watetezi wa demokrasia wakishirikiana na vyama vya upinzani ikiwa ni pamoja na CHADEMA.

Sikiliza sauti 09:47
  • Tarehe 24.05.2019
  • Muda 09:47 dakika.
  • Mwandishi Lilian Mtono