Mahakama ya katiba ya Ujerumani yajadili uhalali wa harakati ya kijeshi | Habari za Ulimwengu | DW | 12.02.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Habari za Ulimwengu

Mahakama ya katiba ya Ujerumani yajadili uhalali wa harakati ya kijeshi

Mahakama ya katiba ya Ujerumani inajadiliana kuhusu uhali wa uamuzi wa kuwapeleka wanajeshi wa Ujerumani kushiriki katika juhudi za kupiga picha eneo la mpakani kati ya Irak na Uturuki. Serikali ya zamani iliyoongozwa na chama cha Social Democratic, SPD, na chama cha Kijani iliidhinisha kupelekwa kwa wanajeshi hao mnamo mwaka wa 2003 muda mfupi kabla ya Marekani kuivamia Irak. Chama cha FDP kwa maoni yake kinasema uamuzihuo ulipaswa kupigiwa kura na bunge kabla kuidhinishwa.
Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com