Maandamano ya chama cha upinzani CUF jijini Dar es Salaam,Tanzania | Matukio ya Kisiasa | DW | 30.09.2009
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Maandamano ya chama cha upinzani CUF jijini Dar es Salaam,Tanzania

Chama kikuu cha upinzani nchini tanzania CUF leo kimefanya maandamano mjini Dar es salaam, kushinikiza kuwepo na tume huru ya uchaguzi nchini humo kabla ya ucahaguzi mkuu unaotarajiwa Oktoba mwaka ujao.

default

Wakuu wa vyama vya upinzani Tanzania, kutoka kushoto: Augustine Mrema wa TLP, Ibrahim Lipumba wa CUF na Freeman Mbowe wa CHADEMA

Othman Miraji alizungumza na  Mwaandishi wetu  George Njogopa aliyefika kujionea kilichokuwa kikiendelea .

Mtayarishaji: Othman Miraji

Mhariri: Mohamed Abdulrahman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com