LUXEMBOURG:Ajali ya treni nchini Ufaransa,watano wafa12.10.200612 Oktoba 2006https://p.dw.com/p/CD3eMatangazoWatu watano wamekufa baada ya treni ya abiribia kugongana na treni ya mizigo kaskazini mashariki mwa Ufaransa. Treni hiyo ya abiria ilikuwa inaelekea mji wa Nancy kutokea Luxembourg ilipogongana na treni ya mizigo.