Kupanda kwa bei ya vyakula nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo | Masuala ya Jamii | DW | 30.04.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Masuala ya Jamii

Kupanda kwa bei ya vyakula nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo

Ongezeko la bei za vyakula katika nchi mbalimbali barani Afrika limeendelea kuwa kubwa zaidi na limehathiri pia nchi kama DRC.

Mwanamke mjini Kinshasa akitayarisha chakula nyumbani kwake

Mwanamke mjini Kinshasa akitayarisha chakula nyumbani kwake

Viongozi wa nchi hiyo wanasema hali ya kupanda kwa bei ya vyakula inawapa wasiwasi mkubwa.Mji mkuu kinshasa unaagiza takriban asilimia 70 ya vyakula kutoka nje.


Taarifa kamili na mwandishi wetu wa Kinshasa Saleh Mwanamilongo


Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com