Kuna sababu nyingi za mahusiano ya kimapenzi kuvunjika lakini pia kuna kila sababu za kujijenga upya baada ya mahusiano hayo kumalizika kwani kumalizika kwa mapenzi si mwisho wa maisha.
https://p.dw.com/p/RpGc
Matangazo
Maryam Dodo Abdullah anazungumzia jinsi ambavyo kijana anaweza kukudhibiti kipindi cha utengano pale mahusiano ya kimapenzi yanapovunjika.
Mtayarishaji/Msimulizi: Maryam Dodo Abdullah Mhariri: Othman Miraji