Kongamano la kimataifa waingia siku ya pili mjini Bonn | Masuala ya Jamii | DW | 22.06.2010
 1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Kongamano la kimataifa waingia siku ya pili mjini Bonn

Kongamano la tatu la Kimataifa la vyombo vya habari linaloandaliwa na Deutsche Welle linaingia siku yake ya pili baada ya kufunguliwa jana mjini Bonn.

default

Mkuu wa Deutsche Welle Bw.Erik Bettermann katika Kongamano la kimataifa mjini Bonn

Kongamano hilo likiwa na kauli mbiu ,"Ni mchango gani unaofaa kutolewa na vyombo vya habari katika kuwapa mwamko wanadamu na matatizo yanayotokana na mabadiliko ya hali ya hewa duniani," na kutafuta njia ya kuyapatia ufumbuzi matokeo ya mabadiliko hayo. Nchini Tanzania kuna chama cha waandishi wa habari wa mazingira, JET, na mkurugenzi mtendaji wa chama hicho, John Chikomo, anahudhuria kongamano hilo la siku tatu. Othman Miraji alizungumza na Bwana Chikomo na kwanza anazungumzia juu ya umuhimu wa kushiriki kwake katika kongamano hili.

Insert: Interview Othman/ JET Executive Director, John Chikomo

Mpitiaji:Abdul-Rahman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

 • Tarehe 22.06.2010
 • Mwandishi Samia Othman
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo https://p.dw.com/p/NzrN
 • Tarehe 22.06.2010
 • Mwandishi Samia Othman
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo https://p.dw.com/p/NzrN

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com