Kongamano la kimataifa mjini Bonn: Mahojiano na Anthony Diallo wa Tanzania | Masuala ya Jamii | DW | 22.06.2010
 1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Kongamano la kimataifa mjini Bonn: Mahojiano na Anthony Diallo wa Tanzania

Kongamano la kimataifa linaendelea kuwasikiliza wataalamu mbalimbali.

default

Eneo linakofanyika kongamano la kimataifa mjini Bonn

Kongamano la siku tatu la kimataifa juu ya vyombo vya habari lililotayarishwa na Deutsche Welle hapa mjini Bonn, Ujerumani, na lililoanza jana, limeendelea leo kwa kuwasikiliza wataalamu mbali mbali wanoshughulisha na masuala ya mabadiliko ya hali ya hewa duniani wakiwaarifu waandishi wa habari juu ya hatari zinazokabiliwa na wanadamu katika jambo hilo na namna ya kupata suluhisho la matatizo hayo. Hayo yatawasaidia waandishi wa habari kuwaarifu watu kwa lugha nyepesi juu ya changamoto hiyo.

Mmoja ya watu wanaoshiriki katika kongamano hilo ni Anthony Mwandu Diallo, mbunge wa Ilemela huko Tanzania, na pia mmiliki wa Radio Free Afrika na pia Televisheni ya Star huko Mwanza. Nini alichofaidika Bwana Diallo hadi sasa na kongamano hili, alimuelezea hivi mwenzangu Othman Miraji...

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

 • Tarehe 22.06.2010
 • Mwandishi Samia Othman
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo https://p.dw.com/p/O0BA
 • Tarehe 22.06.2010
 • Mwandishi Samia Othman
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo https://p.dw.com/p/O0BA
Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com